NIKO NA DEM Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2023
Lyrics
NIKO NA DEM - YBW Smith
...
Yoh...
Alaah...
skia...
CHORUS
aaah,
nikona Dem,
mwenye akona dem pia
masaa fulani ikifika nawachangamkia ,
after scene kabaridi siwezi nikatulia.
waiter leta mzinga mbili na upitishe beer
aaah,
nikona dem
mwenye akona dem pia
, masaa fulani ikifika nawachangamkia, after scene kabaridi siwezi niikatulia,
waiter leta mzinga mbili na
selecta ni rambo na mca Adhiambo huwanga mbaya sana akiweka gopa doh miondoko Ii mchezo nilianza kitambo zile enzi Kali akishikilia milango nimekuja na moto design ya volcano brand yake mat mi nashukia commercial pale godi safi tukaseti machaji foreign Malawi wikendi ni kwa nani tumehire gari,weka wakadinali cheki kwanza tebu search ulikuwa wapi umoroto then umalize na octo alafu ndo ukumbuke usisahau ya okonkwo,hii ni big tune kuwabeba ka Raburu,picha Moja safi utathani si mandugu,Yoh mfalme mix zake safi safi washa Moja bigi manze niskie fiti
CHORUS
(aaah, nikona dem , mwenye akona dem pia masaa fulani ikifika nawachangamkia after scene kabaridi siwezi nikatulia, waiter leta mzinga mbili na upitishe beer aaah, nikona dem mwenye akona dem pia masaa fulani ikifika nawachangamkia after scene kabaridi siwezi nikatulia waiter leta mzinga mbili na dem ni kuhanya akipata unagwarwa,Sunday tuko church kwa father,mi ni baba,dem ni msupa lakini sura ya mbang'a,kwanza amenyanya macho zake ni manga,mali ni safi kuliko matha wa ngara labda umpate gody safi ita fire mama Niko hai siku ya pili ndo inafuata chai moto inatrigger nguo alivuta Jana
CHORUS
aaah nikona dem mwenye akona dem pia masaa fulani ikifika nawachangamkia after scene kabaridi siwezi nikatulia waiter leta mzinga mbili na upitishe beer
aaah yoh...
alaah...
yoh yoh ...