MADAWA Lyrics
- Genre:Reggaeton
- Year of Release:2022
Lyrics
MADAWA - YBW Smith
...
Eyooh!
Alaaah!
TanoNane!
Eeh! Skia Hiii.
Yoh ! Alaaah
Alaaaah
Eii Eiii
Na madawa nilianzanga Kula mapema
Ni Taki Ya Kivela Unabaki umecheka
Ju Ni 420 Na Gode Ni Ya pili
Unatishika Na nini Na Huezi Kua Mimi X 2
Ni Siku Ya Kwanza ashaanza kuniita Bestie
Na sare hawa Mapengting serereka Ni daily
Buruburu Ni Wengi Unapiga. Look. Safi Na shida Huna ganji
Upati ganji unantafta unipati
Kwani fom Ni Gani c twende kilimani
Nakuja Na Mangeus Kama 30 thirty gizani
Nipate Mali safi tuseti Marijuana
Anajiitanga Rihanna tukishikana sana
Dem Makejani amepata Mi huziwasha Akajua MI Rasta nampeleka Jamaica
Ni TanoNane na dem hukuja masaa nane
Ju bado Ni 420
Na madawa nilianzanga Kula mapema
Ni Taki Ya Kivela Unabaki umecheka
Ju Bado Ni 420 Na Gode Ni Ya pili
Unatishika Na nini Na Huezi Kua Mimi X 2
. Nirushie Kathao manze ongeza Ka Mbao Nishike male ziraru Na wawargez Coasto Majanee shikisha Na waarabu Moshi mbili Tatu tunavuta kiustarabu.
.Banjuu Niki Rap Tu Kwa Game Mi Saigoon Nanyambisha kwa mic tu
Chini Na Maji nikikemba Kumbe Ye Ni bombee
Nmetoka buru Na doba niomokee
KATIKATI ya kibenje Joh Tuko Wabling
Juu ya Genge Kaa Esir ndo Rada Safi
Enda mneti unisake Ujue MI Nanii
MI Ndo Ule Boy Dem Yako huita Honey
Magizani Ako Kwangu Ati We Uwezani
We Ni baanii flani anakutoka maganji Ye hunisaka daily kunivua Mashati Tukikunywa sharubati Kwa bafuuu
Na madawa nilianzanga Kula mapema
Ju bado Ni 420 Unabaki umecheka
Mokoro Joh Kwa wingi Na Gode Ni Ya pili
Unatishika Na nini Na Huezi Kua Mimi X 2