Dear Ex Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Dear Ex - Otile Brown
...
Dear Ex - Otile Brown
lyrics written by Jkrules Mswahili
Siku zinasonga na uzee unaingia
hali inazidi kuwa ngumu
yaani Leo heri Jana mmh
na tamaa nahisi ka naikata
maana subira heri 'meshindwa kuivuta
kwa haya mapenzi
nishatafuta Kila chochoro,
wa kuwa na yeye
ila ndio Bado sijamwona
sijihisi mwenye bahati
maana Kila nayekutana na yeye
miye,Kabisa hatuendani
kweli ujana maji ya moto
nakumbuka Kuna madem walonipenda
wakati ule,ila niliwachezea
pengine ndio karma iyo
yamenikuta, taswira nikivuta
mmmmm, I remember you
I remember you
I remember you I remember you
Dear Ex
uwooo uwooh uwoo uwooh ,mmmh
Hii Dunia,wazuri sio wengi
ila kama ni mzuri wa sura
na fedha zipo kupindukia
ukipata anaekufaa
mlinde na ulinzi wa benki
usiendeshwe na Dunia
imejaa uongo na utapeli
ukipata Dem anaekupenda
PENDANA NAYE
mama ukipendwa tulia uolewe
Hii Dunia ukiwa mshamba
wa hela utaizunguka
maana Kila kitu huisha
pesa huisha,
urembo huisha,figa huisha
utachobakiza ni moyo,unayemjua Mungu
Asiyemjua Mungu haeziyajua mapenzi
Asiyeyajua mapenzi hayajui utu
mapenzi ya kweli hayahongeki
na furaha ya kweli haigharimu
chochote
kwa haya mapenzi
nishatafuta Kila chochoro,
wa kuwa na yeye
ila ndio Bado sijamwona
sijihisi mwenye bahati
maana Kila nayekutana na yeye
miye,Kabisa hatuendani
kweli ujana maji ya moto
nakumbuka Kuna madem walonipenda
wakati ule,ila niliwachezea
pengine ndio karma iyo
yamenikuta, taswira nikivuta
mmmmm, I remember you
I remember you
I remember you I remember you
Dear Ex