Nitakwenda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Tumepewa jukumu
Kwenda Duniani
Kuhubiri injili
Watu waokoke
Twendeni ni agizo
Toka kwake Baba
Wakubwa kwa wadogo
Tunaitwa kwenda
Nitakwenda, kwa nguvu za Mungu
Kulihubiri neno
Nitakwenda, mimi nitakwenda
Kuwaleta kwa Bwana
Sauti yake Bwana
Inapokwagiza
Omba roho mtakatifu
Ili aongoze
Kama wale mitume
Kwenye Pentekoste
Walipokea nguvu
Kwenda Duniani
Nitakwenda, kwa nguvu za Mungu
Kulihubiri neno
Nitakwenda, mimi nitakwenda
Kuwaleta kwa Bwana
Nitakwenda, kwa nguvu za Mungu
Kulihubiri neno
Nitakwenda, mimi nitakwenda
Kuwaleta kwa Bwana
Mimi nitakwenda
Mimi nitakwenda
Kwa nguvu za roho mtakatifu
Mimi nitakwenda
Kwa nguvu za roho mtakatifu
Mimi nitakwenda ahhh
Mimi nitakwenda