Damu ya Mwokozi Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Yesu Alikuja Duniani hapa
Kutafuta kilicho potea dhambini
Kanitakasa kwa Damu Yake ya kalwari
Kanisafisha (Safi) ni huru
Kwa Damu ya Yesu
Damu ya Mwokozi imenitakasa
Alipojitolea kwa ajili yangu
Kafa msalabani ili tuwekwe huru
Kwa Damu ya Mwokozii
Imenisafisha
Twaja mbele zako sisi wenye Dhambi
Tumechoshwa na mizigo
Ya dhambi mioyoni
Katutue mizigo inayo tulemea
Katutakase kwa damu yako
Ya thamani (Ya thamani)
Damu ya Mwokozi imenitakasa
Alipojitolea kwa ajili yangu
Kafa msalabani ili tuwekwe huru
Kwa Damu ya Mwokozii
Imenisafisha (Safisha) Safisha
Safisha