Sifa Kwake Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Sifa kwake, Mungu wa upendo
Atupatia amani, furaha
Viumbe vyote, vyashangazwa nawe
Wewe Uliye mwanza na mwisho
Malaika waimba, kwa kicho na Utukufu
Na wautangaza uzuri wako
Tuimbe Sifa kwa Bwana
Alpha na Omega
Tuungane tuimbe Sifa kwake
Sifa kwake, Yesu ni mshindi
Alishinda kifo na kaburi
Mbingu zote, zaishuhudia
Zawadi ya neema kwa wanadamu
Malaika waimba, kwa kicho na Utukufu
Na wautangaza uzuri wako
Tuimbe Sifa kwa Bwana
Alpha na Omega
Tuungane tuimbe Sifa kwake
(Sifa kwake) sifa kwake (sifa kwake)
Yesu ni mshindi
Tuungane tuimbe sifa kwake