Loading...

Download
  • Genre:Acoustic
  • Year of Release:2022

Lyrics

Uhh uhh uhhhhuhh uhhh uhhh uhh

(Furaha Nyumbani)

Tuh tuh tuh tuh tuh tuh tuh tuh

Tuh tuh tuh tuh tuh


Katika Uumbaji wake Mungu

Alipomuumba Adamu pale Edeni

(Akaona sio vyema Adamu)

Aishi peke yake

(Akampatia msaidizi)

Wa kufanana nae


Ndoa ilianzia Edeni hapo mwanzo

(Mungu alipomuumba Adamu

Pamoja na Hawa)

Pia ni Agano takatifu tulopewa

Kutoka kwa Mungu Baba

Ndoa na iheshimiwe na wote

(Na iheshimiwe na wote)

Siku zote salama panapo pendo


Ndoa yenu ikawe ya Baraka

Upendo udumu nyumbani

Furaha amani

Tunawatakia Maisha mema

Katika safari

Kila muombalo likawe heri

Mkawe mbingu ndogo


Ndoa ilianzia Edeni hapo mwanzo

(Mungu alipomuumba Adamu

Pamoja na Hawa)

Pia ni Agano takatifu tulopewa

Kutoka kwa Mungu Baba

Ndoa na iheshimiwe na wote

(Na iheshimiwe na wote)

Siku zote salama panapo pendo


Pendo

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status