Naumia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Naumia - Jose Chameleone
...
naumia ninalia Kwa sababu unarudi usiku nyumbani
uliniambia umechoka kukaa nyumbani unataka kutafuta kazi ya kufanya,nilikubali nilikutafutia kazi sasa naskia vibaya mm oo mbona unarudi usiku nyumbani