Shida Za Dunia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Shida Za Dunia - Jose Chameleone
...
Rafiki yañgu alikuja nyumbani kunielezea shida fulani eti alifukuzwa kazini na hajui atafanya nni
mke wake amemtoroka ....rafiki zake wanamcheka shida amepata mingi amechoka dunia anajuta
açha kulia shida za dunia ebu tulia Mungu anakujaribia*2
Maisha mwendo n pole ukipata shida leo usikonde wengi wako kama wewe usijali açha kulia eti maisha makali tazama kwanza uone kesho usikonde uwape kichekesho maisha itakuwa na matatizo Muombee Mungu atakupa uwezo
acha kulia shida za dunia ebu tulia Mungu anakujaribia *2
hizo shida usifikirie ukonazo pekee yako labda Mungu anakuletea kesho huezi jua kama leo siku yako