NIMEKUPATA YESU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
NIMEKUPATA YESU - Ambassadors Of Christ Choir
...
Nimekupata yesu nimeyapata yote nimekupata bwana sitohitaji tena aah wewe ndiwe hitji langu ngome yangu na mwamba tegemeo langu katika hali zote tesa moyo wangu upendo nikupende urafiki wa kwel nifundishe kunenaa aah bwana maana upendo wako ndio pekee waweza kunifanya kiumbe kipya nikakufwate
Verse
iyeeeh nataman Nitembee katika upendo wa bwana upendo ule wa dhati upendo usiobagua upendo uletao hekima busara na aman upendo wa kimbingu pekee ulio bora x2
Mapenz yako ila wengi wadanganyifu ni wapo katika hali nzur Tupo woteee lakini katika matatizo wote wanikimbia ww nimekupata nitakushikilia
Verse up. ......
Music sound
Nakukaribisha bwana ( iyeee) uyatawale Maisha ( iyeeh)yetu ya kila siku(iyeeh) tufundishe kuona ( naaaah) mbegu za upendo wa dhat mwisho wa nyakati( tuweze kuvuna matunda ya ukamilifu) kamilisha upendo Kwa walio oana dumisha ndoa zao furaha itawale eeh bwana tengeneza unyonge na udhaifu wao ( haah familia iwe mwanga wa mbingu huhuuuu)
Verse up. ........
End@