Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Kaeni Macho - Ambassadors Of Christ Choir

...

KAENI MACHO...

Music beat...

Kaeni machoooo... watu wake Mungu

Tuko kwenye wakati wa mwisho wa duniaaa

Asikiaye huu ni wakati wa kusikia

Aliye na macho huu ni wakati wa kuona

Yaliyotabiriwa yote yamepita

Acha kusitasita ndugu

iliyoanza yasipotee bureeee...

Music piano...

K. Tuache maneno Yesu yu karibu

Tena yu karibu sana sio mbali

Hatujui siku wala saa nduguuu

Lakini dalili zinaonyesha saa

Wanawadharau eti atakuja

Tangu waliposema mbona hajaja

Wasema wa hivyo usiwasikilize ndugu

Hatujui siku ila yu aja...

Inaumiza... kuona sisi kutojali

Raha za dunia hii... zatuzubaisha

Si hayo tu bali kuna mengine mbele yetu

Magonjwa, vita, njaa na mengine mengi...

Inasababisha watu wanajisahau

Kuwa mda umeisha

Amka tuikimbie dunia

...

K. Tuache maneno... Yesu yu karibu uuu

Tena yu karibu sana sio mbali

Hatujui siku wala saa nduguuu

Lakini dalili zinaonyesha

Wanawadharau eti atakuja

Tangu waliposema mbona hajaja

Wasema wa hivyo usiwasikilize ndugu

Hatujui siku ila yu aja

Music beat...

Sauti yako yaita hapo nyuma yako

Roho ya ugusha mda tuliomo sasa

Tulia ndugu sikia sauti ya huruma

Amini sasa ya kesho huwezi kuyajua

Waaminio tujipe moyo kumekucha

Hakuna kilichobaki...

Anashuka toka mawinguniii

...~

K. Tuache maneno...Yesu yu karibu uuu

Tena yu karibu sana sio mbali

Hatujui siku wala saa nduguuu

Lakini dalili zinaonyesha aaaa

Wanawadharau eti atakuja

Tangu waliposema mbona hajaja

Wasema wa hivyo usiwasikilize ndugu

Hatujui siku ila yu aja...×2

writer: @bhm classic vibe...

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status