Che Che Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Ni usiku wa manane
Niko kwangware
Nikicheza zeze
Nadhani ni saa nane
Warembo wako pale
Vinywaji kwa tele
Wengine wanachana veve
Rhumba inatamba mbaka
Che che
Muziki ya burudani
Che che
Namba moja duniani
Che che
Nyumbani na hadharani
Che che
Rhumba inatamba mbaka
Che che
Mpenzi msikilizaji
Che che
Haijalishi we ni nani
Che che
Ukifika kwenye party
Che che
Rhumba inatamba mbaka
Wawili wawili lakini usionekane na bibi wa mwingine
Hebu cheza chini
Usije ukajipata umebebwa inje
Basi situkatike
Pombe isitushinde
Wengine watapike
Hadi kesho ifike
Waiter hebu leta nyama choma
Aaaah
Kachumbari ugali na mboga
Aaaah
Na usisahau kuweka sosa
Juu rhumba inatamba mbaka
Che che
Muziki ya burudani
Che che
Namba moja duniani
Che che
Nyumbani na hadharani
Che che
Rhumba inatamba mbaka
Che che
Mpenzi msikilizaji
Che che
Haijalishi we ni nani
Che che
Ukifika kwenye party
Che che
Rhumba inatamba mbaka
Che
Napenda vile rhumba inanifanya
Inanituliza roho
Hii feelng haina kasoro
Najipata nainua mikono
Juu juu
Juu
Inanipa juju
Juu
Kila nikiwasha redio
Nahisi raha ndani
Iiiii
Che che
Muziki ya burudani
Che che
Namba moja duniani
Che che
Nyumbani na hadharani
Che che
Rhumba inatamba mbaka
Che che
Mpenzi msikilizaji
Che che
Haijalishi we ni nani
Che che
Ukifika kwenye party
Che che
Rhumba inatamba mbaka
Che che
Che che
Che che
Che che