Pilipili Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Mapenzi si rahisi kama highway
Kuna milima na mabonde
Usijali we
Hata wakinena you can run away
Run away with me
Hadi tuwe mbali sana
Mbali na wasiotaka
Sisi tuendelee
Juu wanangoja ni lini tutaachana
Na sasa ninawaza
Mashida gani haya
Pilipili usoila
Yawasha wapi
Kitunguu unakata
Machozi ya nani
Bado ninawonder
Mbona wanatuhanda
Pilipili usoila
Yawasha wapi
Kitunguu unataka
Machozi ya nani
Uuuuuh
Uuuuuuh
Mapenzi yetu
Mapenzi yetu
Tamu kama halua
Wanajiseti
Wakituseti
Wakijaribu kutuua
Me bado nitaleta maua
Ukweli ni mimi ninajua
So you can run away with me
Hadi tuwe mbali sana
Mbali na wasiotaka
Sisi tuendelee
Juu wanangoja ni lini tutaachana
Oh sasa ninawaza
Mashida gani haya
Pilipili usoila
Yawasha wapi
Kitunguu unakata
Machozi ya nani
Bado ninawonder
Mbona wanatuhanda
Pilipili usoila
Yawasha wapi
Kitunguu unataka
Machozi ya nani