Loading...

Download
  • Genre:Pop
  • Year of Release:2024

Lyrics

Ni kama zamu yangu imefika

Ya kupata mchumba wangu

Nimekua nikimsakasaka

Akue wangu

Aki nikimpatapata

Ni karamu

Me nijibambe na ye

Jina langu

Nitampa akitakataka

Nia yangu nitamuonyesha eti kwamba

Hisia zangu

Zimekua zikiwakawaka

Ni filamu

Mimi nikiwa na ye

Na kusema kweli

Nimechoka kua bachelor

Kuna manzi flani

Ameanza kunipendeza

Ninamuonanga kwa ndoto

Kila day

Vile si hufanya me siwezi ata eleza

Sasa ninashindwa

Mbona mimi nikiamka

Mrembo simuoni

Ameamua kunihepa

Aki ya nani ukimwona mwambie

Niko kanisani magotini

Nikiomba


Mola nipe mpenzi

Wazazi wananipigia

Simu wakiulizia

Eti lini ninaoa

Mola nipe mpenzi

Jirani wanichekelea

Baridi inanimaliza

Sioni nikivumilia


Aaaaaaah

Aaaaaaaah


Na mimi nimejaribu sana kuwaambia

Wazazi eti manzi hawa wote ni bandia

Kwanza wale wa Mombasa

Naskia siku hizi

Wanahanya

Lakini me sitaki kuishi maisha bila dem

Kama mnaweza heri nyinyi mpange

Harusi nitaja mimi

Kama nimevalia suti

Naona hivi turudie

Mambo ya kale

Ni nini tuliahidiwa

Ndo tukasare

Msichana mwenye tabia nzuri sijamuona

Na bado ninaomba


Mola nipe mpenzi

Wazazi wananipigia

Simu wakiulizia

Eti lini ninaoa

Mola nipe mpenzi

Jirani wanichekelea

Baridi inanimaliza

Sioni nikivumilia


Aaaaaaah

Aaaaaaaah

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status