Empty Pockets Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Aaaaaah
Aaaaaaah
Adwa dhi dala
Nairobi saa zingine iko na mapressure
Mapenzi dawa
Na me ni mgonjwa so nifanyeje
Juu nilidhani mimi ningependwa
Bila kuulizwa juu ya ATM
Sasa nashindwa joh nizame wapi
Na nilimpenda sana
Aki ningemfanyia chochote
Aliponipa number
Si ilibidi tu nimeconfess
Lakini pretty mama alinuna
Aliposikia eti sina Benz
Na ndo maana nimeonelea
Usinichague
Usinichague
Kama tu ni pesa unapenda
Mapenzi we
Ni ya bure
No other agenda
I know i know i know
That we can never be
Juu mfuko yangu
Bado iko empty
Na sasa mimi nimeamua
Nimeona heri kujichagua
Kwa nini pesa yatusumbua
Na lini tutafungua macho kweli
Aaaaah
Mbona
Bado hatujakoma
Kupigania nyama choma
Twajitesanga
Abiro haraka
Ukijaribu kunitafta hata na waraka
Ni pesa nasaka
Nimegeuka mimi punda
Mami kuwa tu na subira
Napata taabu
Kila Siku niko mjengo
Naumia
Eti sababu
Ni natafuta vitu vya dunia
Usinichague
Kama tu ni pesa unapenda
Mapenzi we
Ni ya bure
No other agenda
I know i know i know
That we can never be
Juu mfuko yangu
Bado iko empty
Usinichague
Kama tu ni pesa unapenda
Mapenzi we
Ni ya bure
No other agenda
I know i know i know
That we can never be
Juu mfuko yangu
Bado iko empty