
Moyo Wa Ibada
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Moyo Wa Ibada - Ambwene Mwasongwe
...
Wengi wamekusifia
Wengi wamekuimbia
Wengi wamekutolea Bwana
Sadaka na maombi mazuri
Na ibada
Natamani nikusifu
Natamani nikuimbie
Nataka nikutolee
Ibada, sadaka na maombi hujawahi kuyasikia
Ila maneno yananipelea
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe Moyo Wa Ibada MP3 song. Moyo Wa Ibada song from album Moyo Wa Ibada is released in 2021. The duration of song is 00:08:10. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: Moyo Wa Ibada, Moyo Wa Ibada song, Moyo Wa Ibada MP3 song, Moyo Wa Ibada MP3, download Moyo Wa Ibada song, Moyo Wa Ibada song, Moyo Wa Ibada Moyo Wa Ibada song, Moyo Wa Ibada song by Ambwene Mwasongwe, Moyo Wa Ibada song download, download Moyo Wa Ibada MP3 song
Comments (14)
New Comments(14)
vanessag52g3
laurent mtawa nfb5i
Asante mjori wa BWANA
eliezerrbcjd
Big up
kusekwa sita
safi sana hii
hillda pangani
[0x1f60e][0x1f60e]
JustineB
umebarikiwa, wewe ni Baraka ,namshukuru Mungu ulizaliwa
Josephina Samweli
nabarikiwa sana na wimbo huu
Cecilia mohamed
asubuhi naamka nanyimbo ya mbele yangu pita. nasikia raha sana kusikiliza nyimbo zako. utukufu ni kwa Mungu aliyekuumba.
[0x1f60e][0x1f60e]
Veronica Jacksonf92s9
huduma yako napenda mno mno barikiwa mtumishi
Happy Maguzo
unajua kuna muda nawaza ni unakuwa na yesu karibu ndo unamsifu mana dah,endelea kubarikiwa
Elia [email protected]
[0x1f636][0x1f636][0x1f612][0x1f612][0x1f613][0x1f608][0x1f630][0x1f63f][0x1f63f]
i love your songs dad. May God bless you. [0x1f623]