- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Leah - Dully Sykes
...
hooo hohohoo hooo hohohooo hooo hohoho hhohohoooo...
Nilimkuta leah amejilaza chini kwenye kituo cha wamataa huku ngozi yake ya maji ya kunde imegeuka ya manjano isiyopendeza..
Unafanya nini nikamuuliza akanijibu anaumwa pia ana njaa msichana wa miaka kumi na tisa kumbe alikuwa amesha athirika nikampeleka duka la madawa ili vidonge kidogo vimuweke sawa kwani alikuwa na fangasi mwili mzima nikamridhia anihadithie stort nzima,
akaanza kuniadithia kwa huruma kwamba siku moja alikuwa anatoka shuleee leah siku hiyo njaa ilimtawala akatokea dereva wa daladala,
akamwambia leah lift panda mbele japo mwanafunzi akae kiti cha mbele tena bila malipo ni bure bure akaanza kumtongoza polepole,
sababu leah njaa ilimtawala akaambiwa atanunuliwa chips soda ilivyofika jioni akanunuliwa wakapanga wakutane tena pale pale,
ilivyofika siku wakakutana pale akapanda daladala hadi usiku wakaenda kufanya yao mavitu wakaenda kufanya yao mavituuu leahhh...,
Leeaaahhhh umekwendaaaa yoyote molaaa amepangaaa×2
see lyrics >>
Similar Songs
More from Dully Sykes
Listen to Dully Sykes Leah MP3 song. Leah song from album Best Of Dully Sykes is released in 2019. The duration of song is 00:05:02. The song is sung by Dully Sykes.
Related Tags: Leah, Leah song, Leah MP3 song, Leah MP3, download Leah song, Leah song, Best Of Dully Sykes Leah song, Leah song by Dully Sykes, Leah song download, download Leah MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Trixie Riri
trizer genius .26 life
hii ngoma sikuzote naikubari
wakishua wa tigo
duhuu hata mm aise
suleish4a9mw
Naikubali xana hii ngoma
nilikua naitafuta huu wimbo daah