- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Juu - Rayvanny
...
UUUH UUUH YEAH! MABOYA WANATETA KAMANDA MIMI NAPETA AM MAKING MY PAPER (AM MAKING MY PAPER) SIJACHANA MIKEKA MIFUKO IMECHEKA SA MWENDO WA MATEKA MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH THIS RAPPERS WANATAKA BATTLE ILA MI NA WAO HUWEZI HATA KU COMPARE, RAP HITS NA NDO ZINAZOTAMBAA ON AIR juu juu KING JUU YA CHAIN JU NAJUA UTAN AIR SIO UKIWASHA MOTO AKIKISHA UNAJUA NA KUCHOCHEA COZ HAVE BEEN KILLING RAPPERS NYINYI NA SIO MIMI PEKEE YAKO LABDA UJE NA ZAKO THEMANINI MAANA MI PEKEE YANGU KAMA RAPPERS MIA NA NYINYI SITINI SO UJE NA RAPPERS WOTE AMBAO WANA BIFUU NA MIMI BUSTANI HUWA SICHEKAGI NA ADUI VITANI MI NINA SHETANI AKISIKIA BEAT ANANIPANDA KICHWANI NA MAMA ZAKO SIKU ZOTE WANADATA NA FANI WATACHANA ILA KUPE NDO WAMAJIMAMA NDO SIDHANI .... YEAH MABOYA WANATETA KAMANDA MI NAPETA AM MAKING MY PAPER ( MAKING MY PAPER) SIJACHANA MIKEKA MIFUKO IMECHEKA SA MWENDO WA MATEKA MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH MIKONO JUU EEH WANAFORCE TABASAMU LA KIBOSI KWENYE SURA ZA MADENI KUNICHUKIA NI KUCHEMSHA MAJI KWA FLAN PENI MI MAMBO YA BASH HAYA KENGE MCHICHA NIFATENI GHETTO JIPEPEE KOFI OLOMIDE HAKUNA FENI! NACHEKA NA MASNITCH UTASEMA SIWAJUI JUI ( JUI JUI) MORE MONEY GUCCI PRADA LUI LUI (LUI LUI) DADA NIPE BURE SINUNUI NUI V VANNY BOY MR BIG NAME CHUI CHUI MZIKI SHULE WATOTO WALIKIMBIA UMANDE SASA WANASHINDANISHWA PILAU NA MAKANDE NENDA KAWANGE ILA BADO UTAKAA UPANDE NIITE CHUI TOKA WASAFI KWENYE UKOO WA MZEE NYANGE EEH MABOYA WANATETA KAMANDA MIMI NAPETA AM MAKING MY PAPER (MAKING MY PAPER ) SIJACHANA MIKEKA MIFUKO IMECHEKA SA MWENDO WA MATEKA MIKONO JUU eeh MIKONO JUU eeh MIKONO JUU eeh MIKONO JUU eeh MIKONO JUU eeh MIKONO JUU eeh MIKONO JUU eeh MIKONO JUU eeh
Similar Songs
More from Rayvanny
Listen to Rayvanny Juu MP3 song. Juu song from album Sound from Africa is released in 2021. The duration of song is 00:02:48. The song is sung by Rayvanny.
Related Tags: Juu, Juu song, Juu MP3 song, Juu MP3, download Juu song, Juu song, Sound from Africa Juu song, Juu song by Rayvanny, Juu song download, download Juu MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
Robert 5wjj6
Abdulfateh Rashidy
[0x1f631][0x1f631][0x1f631][0x1f631]
hassan shineni
caf cana
nestorny1an
vanny chui sijui ata nsemeje ila unaweza kaza 2 kaka
Goodluck Luganoe4i9l
Chui
rehema Michael h8g24
waaaaaoh im aprishiet my son ELIAS
Justine Moses
Mikono juu
machoojr
nacheka na masnitch utasema siwajui
Mercy Wainainahkm0f

Mercy Wainainahkm0f
this . song
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2347036681271