
Umenikubali
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Umenikubali - Joel Lwaga
...
Mmmmmh mmmh
Kama Mungu ungetazama kama watu tunavyotazama
Isingetosha kwenye mizani nisingekidhi masharti
Hukuangalia historiaa ya familia niliyotokea
Hazikukutisha zangu tabia ulilitazama lililo jema eeeh
Umenipenda nisiestahili umeniita mwanao niliejidhani yakua sifahi umenipenda upeo
Umebadilisha na yangu asili umenifanya mboni ya jicho lako uuuh mmh
Ungehitaji waliokamili mm si mmoja wao
Ulichojali wangu utayari wakufanya utakalo
Umenikabidhi na zako siri nakunifanya rafiki wa moyo wakoo ooh
see lyrics >>Similar Songs
More from Joel Lwaga
Listen to Joel Lwaga Umenikubali MP3 song. Umenikubali song from album Umenikubali is released in 2023. The duration of song is 00:05:31. The song is sung by Joel Lwaga.
Related Tags: Umenikubali, Umenikubali song, Umenikubali MP3 song, Umenikubali MP3, download Umenikubali song, Umenikubali song, Umenikubali Umenikubali song, Umenikubali song by Joel Lwaga, Umenikubali song download, download Umenikubali MP3 song
Comments (46)
Top Comments (3)
Kai +255
judie Mushi
Nyimbo nzurii sana imefanya nitafakari sana UPENDO WA MUNGU JUU YA MAISHA YANGU WIMBO UMEFANYIKA BARAKA
jesca taraya
Daah,huu wimbo unaujumbe mzito sana mungu wetu ni mwenye rehema ahsante kwa wimbo mzuri
New Comments(46)
Sayunyjlst
Hii nyimbo imezid kunikumusha kuwa unyenyekevu ndo maisha nayotakiwa kuishi mana sikuctahiri ila ye kanipa kustahir[0x1f621]
Priscaelct7
Daah,huu wimbo unaujumbe mzito sana mungu wetu ni mwenye rehema ahsante kwa wimbo mzuri
Jacklinel4sxm
Nyimbo nzuri sana inatia moyo
Ann Valerie
Nyimbo nzuri
158939358
amen
I like the song
usiache kumtukuza mungu
totoo rwnwm
[0x1f60d][0x1f60e][0x1f60e] nabarikiwa sana na wimbo huu..
Yunus Assaniaqh29
[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623] que la gloire soit rendue à notre seigneur Jésus notre seigneur et sauveur, frère Joël lwaga que Dieu te bénisse frère, j'aime la chanson [0x1f60d][0x1f60d]!! Mungu aku bariki ndugu
shedrac kelvib
nice song
judie Mushi
Nyimbo nzurii sana imefanya nitafakari sana UPENDO WA MUNGU JUU YA MAISHA YANGU WIMBO UMEFANYIKA BARAKA
annastazia johny2dc5
mungu azid kukutia nguvu
Kama unasikiliza hii nyimbo saizi MUNGU akakufanyie wepesi katika kila jambo lako siku ya leo