Leo ft. Marioo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Leo ft. Marioo - Mabantu
...
Siwanapenda kubeng
shiiiii
gachb
Leoooooo
Mungu ameniona
Ameniona
Leoooooo
Mungu ameniona
Ameniona
yeyeeeyeye
Jaza jaba gonga glass
Leo mambo yote mneso
Amina
Mungu amekata minyololo yote ya mateso
Amina
Mvua jua zote zilitupiga hatukua na leso
Amina
Ila tuliishi kwa imani tukiaminkeshoo
Amina
heee ukiona yanazidi ssana majaribu
bas kusaceed ku karibu
Nilidondoga nikainuka Tena nikajaribu
Nikasema ipo siku mungu atanijibu
Leoooo
Mungu ameniona
Ameniona
Leoooo
Mungu ameniona
ameniona
aaaah
Nilikua single iila lleo iko na babe
Amina
Nisha lizwaga mpka chozi nikajaza debe
Amina
Tena nabembelezwa nadekezwa dede
Amina
Hatimae leo tumewakata ngebe
Amina
Mmmh
Wakileta leta mapepo (fire)
Wakitaka tuachane (fire)
Vineno neno vya chuki (fire)
Tukiachana mtuite mbwa tumekaa pale
Leoooo
Mungu ameniona (Ameniona)
Ameniona (Ameniona)
Leoooo
Mungu ameniona (Ameniona)
Ameniona (Ameniona)
Leo natumia cos Jana nilisetle
Amina
Ile kupanda kushuka leo nami nnina getto
Amina
Dharau masimango Tulishinda mateso
Amina
Tuishi kwa imani na tuamini kesho
Amina
God
when say yes nobody (Nobody)
can say no
Nobody (Nobody)
Can say no
(God)
Mungu akisema inawezekana
Hakuna mwingine wakupinga
Dear God
Leoooo
Mungu ameniona
Ameniona
Leooo
Mungu ameniona
Ameniona
Added by
Prince wa kigoma