Sponsa ft. Young Lunya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Sponsa ft. Young Lunya - Mabantu
...
Nimeshatuma na ya kutolea x3
Gachi B
Nimeshatuma na ya kutolea
Si wanapenda kubang
Nyuma ana mlika meru sio kichuguu. (mywangu)
Na kwa kifua kama amefunga vitunguu
Ninavyosimamishaga kama stendi kuu(my wangu)
So akiniambia ni come na come true(my wangu)
Kiuno alisema mama ndo amempatia(mywangu)
Na kweli sikuuziwa mbuzi kwenye gunia(mywangu)
Kiuno alisema mama ndo amempatia(my wangu)