Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2013

Lyrics

Adui Wako - Rose Muhando

...

song by Flora Mbasha not Rose Muhando

lyric sync by Phellow 254790511905

Adui yako huyo ni rafiki yako

Mwachie Yesu apigane naye

usipigane na huyo rafiki yako

mwachie Yesu apigane naye

Mtumishi wa Mungu Sarah

Walimsema sana kwa sababu ya tatizo lake

Lakini Sarah alimtazama Mungu

Ndiposa Mungu akampa mtoto Isaka

Hebu tazama mtumishi wa Mungu Ayubu

Ni majaribu mangapi aliyapata?

Ah, watu walimsema tena walimcheka sana

Lakini Ayubu alinyamaza kimya

Ndiposa Mungu akamponya Ayubu

Adui zake wote wakaona aibu

Adui yako ni adui wa Mungu

Mweleze yeye atashughulika naye

Adui yako huyo ni rafiki yako

Mwachie Yesu apigane naye

Usipigane na huyo rafiki yako

Mwachie Yesu apigane naye

yelelelelelele

Mungu wangu nimekutumaini wewe

Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda

Umesema katika maandiko matakatifu

Adui zangu watakuwa adui zako

tena ukasema katika Luka sita

wapendeni hao adui zenu

watendeeni mema

wote wanaowaudhi

wabarikieni wale wanaowalaani

tena waombeeni wote wanaowaonea

akupigaye shavu moja mgeuzie na la pili (agha basi)

mbona watazama

kibanzi ndani ya jicho la mwenzako ah

na boriti ndani ya jicho lako

huliaangalii basi

mbona watazama

kibanzi ndani ya jicho la mwenzako

na boriti ndani ya jicho lako huliangalii

adui yako ni adui wa Mungu wee (haha)

mwachie yeye ashughulike naye

*******piano*****

Adui yako huyo ni rafiki yako

Mwachie Yesu apigane naye

usipigane na huyo rafiki yako

mwachie Yesu apigane naye

watumishi mmekuwa mkisemwa sana

katika huduma mliyopewa na Mungu

msikate tamaa, songa mbele

katika kuziokoa roho za watu

ili watu wapone

ufalme wa Mungu wauone

mwacheni Yesu ashughulike na adui zenu yeee!

**********Free Insstruments*********

Adui yako huyo ni rafiki yako

Mwachie Yesu apigane naye

usipigane na huyo rafiki yako

mwachie Yesu apigane naye

song by Flora Mbasha

lyric sync by Phellow 254790511905

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status