Usinipite Bwana Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2006
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Usinipite Bwana - Upendo Nkone
...
unipited bwana usinipite unapogusa wengine name niguse
usinipite bwana usinipite unapogusa wengine name niguse.
(verse 1)
mawazo yangu na moyo wangu nakungoja uniguse akili zangu ufahamu wangu vyote vyakungoja.ninayo imani ukinigusa napokea uzima magojwa yote mwilini mwangu yataondoka
(chorus)
.........
(verse 2)
mkono wako gusa tumbo langu ninaomba uponyaj kichwa changu na mikon yangu na miguu yangu
na macho yangu naomba uyaguse nipat kukuona naziamini kaz zako Mungu naomba niguse
(chorus)
.........
(verse3)
Ee ndugu yangu yesu ana nguvu ruhusu akuguse familia yako na ndoa yako yesu ataponya usikate tamaa kwa uliyonayo kwa Mungu yawezekana alivyo hurumia wengine n kwako atafanya
(chorus)
...........