Nakuhitaji Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Nakuhitaji - Upendo Nkone
...
Nakuhitaji ewe Yesu wangu
Sina mwingine awezae kunifaa
Gusa roho yangu uiponye nafsi yangu
Tegemeo langu msaada wa karibu
N wewe wanitosha×3
Kwa pito hili baba n lazima utende jambo
Kushoto na kulia kwangu Sina wa kunisaidia
Nainua macho mbinguni msaada wangu utoke kwako
N weewee nguvu yangu eeeh baba
N weewee msaada wangu
Nakuhitajiii Yesu.....chorus
Moyoni nna jambo Mungu mwanadamu hataliweza
Nnalileta kwako Yesu uwe jibu la shida yangu
Ww n Mungu wa watu wote hata mm n wako pia
N ww jibu langu eeeeh baba
N ww jibu langu
Nakuhitajiii Yesu......
back to chorus
Usiku na mchana Yesu Nakuomba nikilia
Sikia niombavyo baba usikawie kunijibu
Uponye moyo wangu Yesu pale nilipo umia
N wewe baba yangu eeeh baba
N wewe baba yangu
Nakuhitajiii Yesu....
back to chorus
unatosha kunishibisha baba
unatosha kunisaidia baba
usiniache usiniache eeeh Yesu
uzima wangu faraja ya moyo wangu
N fahari ya maisha yangu