Unastahili Kuabudiwa Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2004
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Unastahili Kuabudiwa - Upendo Nkone
...
Ooh haleluya
Tunakusifu Mungu wetu
Wewe umeumba mbingu na nchi
Vile vinavoonekana na visivo onekana
Mito ndege wanyama na vitu vingi
Ukatuumba wanadamu kwa mfano wako wewe Mungu
Umetupa akili na katika hayo tunakusifu na kukuinua na ndio maana na mimi leo ninasema unastahili eeeh bwana haleluya
Mungu wetu tunakusifu
Mungu wetu twakuinua
Yale uyatendao makuu mno
Fadhili zako za milele
Haufananishwi na chochote
Ndiwe uliye mwanzo tena ni mwisho(*2)
Nikiziangalia mbingu ni kazi ya mikono yako
Vinavyoonekana na visivyoonekana
Nani kama wewe Mungu wetu
Hatuna wa kufafana nawe
Milelel na milele na utadumu
Unastahili yesu kuabudiwa
Unastahili yesu kuinuliwa
Unastahili yesu kusujudiwa(*2)
Wewe ni Mungu wa maajabu
Unaetenda mambo makuu
Uwezo wako Mungu ni mkuu sanaa
Hakuna mwingine kama wewe
Ulitengeneza njia jangwani
Ukawavusha israeli
We una nguvu kuliko chochote
Uuuuuuh
Haleluya
Haleluya
(Ahhhhhhhhhhhh)
Unastahili Yesu kuabudiwa
Unastahili Yesu kuinuliwa
Unastahili Yesu kusujudiwa
Aaaaaaaah aaaaaaah unastahili (*3)
Haleluya haleluya
Oohh haleluya
Hakika Mungu wetu utukufu ni wako
Hatustahili hata kugusa sehem ya utukufu huo
Ndio maana ninasema unastahili sifa Yesu
Unastahili kuinaminiwa mwokozi
Unastahili kuadhimishwa milele yote bwana
Oooh haleluya haleluya
Ni wajibu wangu kukutukuza mwokozi wangu
Kwasababu wewe umeketi mahali pa sifa bwana wangu
Haleluya haleluya bwana
Nani mwingine wa kuabudiwa hakuna
Mbinguni na duniani ni wewe tu bwana wangu
Ni wewe Yesu
Haleluya haleluya bwana wangu
Ooh Yesu mwema
Nakupenda Yesu
Moyo wangu unakuadhimisha mwokozi wangu
Haleluya
Unastahili