TikTok (Whine) ft. GI Selects Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Hahaha
Ama Ni?
Ama Niajeeee
Bad gyal we ndio queen of the dancehall
Ita ambulance niitie the Kansoul
Bad gyal we ndio queen of the dancehall
Ita ambulance niitie the Kansoooul
Kata kata kata katingicha
Ajee Ajee si tunashikisha
Kata kata kata katingicha
Ajee Ajee si tunashikishaa
Whine up for me nataka nione ukibend
Whine up for me from the top to de end
Whine up for me nataka nione ukibend
Whine up for me from the top to de end
Zungusha mummy zungusha mpaka watii
Zungusha mummy zungushiaa wanatii
Zungusha mummy zungusha mpaka watii
Zungusha mummy zungushiaa wanatii
Wana
Tiiiiik Tik Tok Tik Toook
Tik Tok Tik Toook
Tiiiiik Tik Tok Tik Toook
Tik Tok Tik Toook
Ni kadem kazuri kamejiweza kanapendaga shada na bado kako na ego
Si kalikam ati
Hi Lastii si ati ni kwa ubaya lakini niko thirsty
Nikakashoo karibu basi nikupee maji
Unadai warm ama baridii?
Baridiiii
After maji ya Uzima si alizima nikaingia ndani, bila kuroroa
Si kaliitoa
Nikai mochoa
Badae naskiaa
Unanimada radaa?
Kwani ni mauano ama ni mchuanoo
Na ndyo ka first half kamekwachu
Kamekwachu, kwachu
Na ndyo kafirst half kamekwachu
Whine up for me nataka nione ukibend
Whine up for me from the top to de end
Whine up for me nataka nione ukibend
Whine up for me from the top to de end
Zungusha mummy zungusha mpaka watii
Zungusha mummy zungushia wanatii
Zungusha mummy zungusha mpaka watii
Zungusha mummy zungushia wanatii
Wana
Tiiiiik Tik Tok Tik Toook
Tik Tok Tik Toook
Tiiiiik Tik Tok Tik Toook
Tik Tok Tik Toook
Venye ye hung'aria lazima atanikalia
Nilisha mkatia lazima atanipatia
Siezi mind venye we hudai
Venye we hudaaii
Siezi mind venye we hutaka
Ju jina ni Lastii (Lastii)
Si unajua niko thirsty (Niko thirsty)
Zaidi yako naeza bleki (Bleki)
Haka katoto ni kakeki (Ka ka kakeki)
Ka ni tam sema ngorii yooh
(Ngori ngorii yooh)
Imekubamba sema kalii yooh (Kali kali yooh)
Na mamasita ana makaliooo (Makalio)
Na yeuzitingisha kama mamayooo (Yeuzishikishikish)
Na Lastii minataka more (Nataka more)
Lastii minataka more (Natal more)
Tik Tok Tik Tok
Tik Tok Tik Tok