Doba za Wagenge ft. GI Selects Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
Lyrics
Ahaahah wagenge ecko ecko guan
Ngori ni gani niati leo ndio nimekam
Ngori ni gani naskia kushika maadam
Ni ule boy flani nime toka kangemi
Na ukini ng orea ngori huwa sisemi
Ju nikikuround utalipa madeenii
Eeeeh lastii always thirsty
Sini mtaaroo ndio nililala kati kati
Na nilikachocha ju ya madooh na ju ya umatiii
Funny about it mindio mgenge ame amania sanaa
Na siati ju nakaza ni ju mi nakazana
Cheza doba za wagenge
Za wagengee
Cheza doba za wagenge
Za wagengee
Cheza doba za wagenge
Za wagenge
Na morio uskuwe mseengee
Aaah aaah
Its all we wanna do nikufanya hii mziki tuu
Minaifanya juu naipenda tuu
walishindwa kubeba flag mindio naipeperusha
Kutoka ke uku nai mpaka arusha
Walianza kubambika venne kanashika
All demn galdem wanna feel me
They say they love me and they'll never deceive me
Oooh biggie design ya smalls vitu ni origi
Si alipata ball akidaii haikuliki sa izi ako home
Cheki chiki chiki plaau usisahau mix ka Nina dj gi apo sawa
Cheza doba za wagenge
Za wagengee
Cheza doba za wagenge
Za wagengee
Cheza doba wagenge
Za wagengee
Na morio uskuwe mseengee
Legeza ka uko juu umesimama
Ju sindio tuna run hii mtaa
Ayee
Legeza ka uko juu umesima
Ju sindio tuna run hii mtaaa
Kanairo
Cheza doba za wagenge
Za wagengee
Cheza doba za wagenge
Za wagengee
Cheza doba za wagenge
Za wagengee