Anaipenda ft. Dyana Cods Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
Lyrics
Yoowh Amanii Afrvka Cods
Anaipenda anaitaka anaipenda na pia anaitaka
Na na naipenda Naitaka naipenda napia naitaka
Unaipendaa unaitaka unaipenda na pia unaitaka
Manzee joh naipenda naitaka naipenda na pia naitaka
Niko addicted kwa mavela na wasichana miniliekewangwa dumba so usiseme minimlafii
Sherehe uzima juu yako naeza zima mtoto ana mahaga kaa mjaka naipimaa
Hey cods don't do me like that please don't tit for tat is not a game I mean
Wendio ulifanya niache Ivy I zii alidaai nimshike hiivii
Miukuwa thirsty juu yako na mraam bae na venye naishika lazima ikubambee
Mtoto ni mjaka Atotii hana haraka see amejibeba na ako na kenye na taka
Mtoto ni mjaka Atotii hana haraka see amejibeba na ako na kenye na taka
Anaipenda anaitaka anaipenda na pia anaitaka
Na na naipenda Naitaka naipenda napia naitaka
Unaipendaa unaitaka unaipenda na pia unaitaka
Manzee joh naipenda naitaka naipenda na pia naitaka
Aaaii zii peng ni mali wame tii
Hii haga imesimaama wametii
Alii ota anaikemba jana kwa keja
Izo ni ndoto my guy see you later
Me ni foreign chick huwezi fika beeii ndio unilipie bills staki kuitwa beei
Don dada nakujanga vi wrong naletaa paranoia east na bado sijawasha ndom
Nadai nyama fake dish sidaii cheap beef
King cod undefeated my g
Big stepper naweza kunyoroshaa
Haga lagger than life utachoka
Anaipenda anaitaka anaipenda na pia anaitaka
Na na naipenda Naitaka naipenda napia naitaka
Unaipendaa unaitaka unaipenda na pia unaitaka
Manzee joh naipenda naitaka naipenda na pia naitaka