Pete Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Pete - Lizy Lee
...
ooh aaah aaah aa
lizyy
Nakushukuru kwa kutimizaa ahadiii
na mungu wetu atubariki.
Nakushukuru kwa kutimizaa ahadiii
na ndoa yetuuh mungu aibarikiiihhh
Me nakupenda wee nitabaki na wewe
wanune waongee wakichoka walale mpenzi weehh eeh
Me nakukunda
Me nakupenda wee nitabaki na wewe wanune waongee wakichoka walale mpenzi weehh eeh
Me nakukunda
Leo wataiona pete *8
Ndoa barakahh,,,mama kasema mume nimepata,,,wajomba na kaka watutakie kheri na barakaaaah
Nyamaza mama usiliee,,majirani mnibbelezeee,,,na ungekuwepo baba me sidhani ungewaza ya kulee,,ona babu anavyocheka,,bibi aserebuka ,ndugu wote wanataamba,,zawad za kanga??????????
Me nakupenda wee nitabaki na wewe wanune waongee wakichoka walale mpenzi weehh eeh
Me nakukunda *2
leo wataiona petee *8
???????????????
eyoo ken