Nimepata Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nimepata - Lizy Lee
...
lalaa,laalala laala
(lizy)
unafuatia watiaji wapita njia,
ninaowahitaji wa kutuliaa
niwape langu asilimia
ntashika maaaji
moyo wangu ushaumia
sasa, unahitaji kutuliaa, kutuliaa
wale wa kusumbua wakae mbalii
wengi wanasumbua, Wala usijalii
wale wa kufunua wakaembalii
wengi wanasumbua,Wala sijaaliii
nimepata mpataa, nimepata wangu wa moyo,kinachofata,sasa naongeza na choyo.
nimempatampata,nimempata wangu wa moyoo