I wish ft. badest 47 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
I wish ft. badest 47 - Lizy Lee
...
I weweeeeeeee aah eeeya
lizyleeeh weldey
I wishi ningekuwa pumzi ukinivuta
ndani nigome kurudi iwish ningekuwa
mkufunzi kina amba na gigy
niwafunze maujuzi I wish ningekuwa
mwenyenyumba ukichelewesha Kodi
nauze mpaka nyumba iwish ningekuwa mwizi nipigwe weeh nipasuke Yani
iwish ningekuwa teacher niweke uongo kwenye kufundisha
iwish ningekuwa muumba wanaume wote wangebeba mimba
iwish×6
ningekuwaga mhanga ma x wangu wote ningewaotesha vipara niwemchungaji wa kondoo nijichagulie kondoo kadhaa was kuwala niwape zindaa niruhusu mipete vijiti viuzwe baa niamie daa alaf buza kwa mparange ndio ntapo kaa iwish niamie mtoni sepetu na mobeto wapishane magetoni au nijifanye doni pisikali zote nizilambishe koni iwish nijigeuze kiti kila anaetaka kukaaa nikalie mm iwish au nijigeuze lifti kila atakaepanda agile kileleni
IWISH×6
Baa ziwemakanisa madanga wakawe masista niamie daa alaf buza kwa mparange ndio ntakapo kaa