Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2017

Lyrics

Mungu Mwenye Nguvu - Solomon Mkubwa

...


Halleluya,

Ndugu yangu Biblia inasema waabudio halisi watamwabudu Bwana

katika roho na kwa kweli

Na ni wakati huu – ukiwa ndani ya gari lako, ukiwa ndani ya basi unasafiri, ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako Jiunge pamoja nami tumwinue Bwana tumwambie wastahili uko mwenye nguvu


Ukiwa uliamka asubuhi na haukumwambia kitu Mungu, ni wakati wa kumwambia Bwana: Utukuzwe, uinuliwe Tujiunge pamoja kwa wakati huu tumwambie Bwana "Wastahili"


Ikiwa uko katika maombi ya kufunga na kuomba, hebu tujiunge pamoja,


Twende Haleluya

Mungu wetu mwenye nguvu, ni Baba wa Milele (Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)


Eeh Eeh Ni Mwenye nguvu, Ebeneza Baba wa milele


(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele) Wanipa mema, wewe ni mwenye nguvu, Baba wa milele yote (Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)


Nguvu zako zashangaza Dunia, uliumba mbigu pasipo nguzo, hewani Baba. (Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)


“Baba utukuzwe, Baba uinuliwe— Solomon Mukubwa

Uko mwema,

Bwana, matendo yako ni ya ajabu sana aaaaa


Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo baba Nikikosewa na maisha, wanipa tumaini la kupata maisha Baba


Wajapo nicheka majirani wangu Wewe upo upande wangu, Uhimidiwe Yahweh Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo Wanipa tumaini la maisha Baba yangu o duniani Natembea nawe Baba yangu,


Hujaniacha mimi o Baba Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo Wanipa tumaini la maisha Baba yangu oooh duniani Natembea nawe Baba yangu, Hujaniacha mimi oooh Baba.


Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo Kulala, kuamka ni kwa neema yake Mungu, Ndugu yangu, Ulimpa mungu nini wewe kusudi uwe jinsi ulivyo? Usijivune bure ni neema yake baba.


Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo Aiiiii, Yesu, nani kama wewe Bwana, Sina mwingine kukuliko wewe, mfalme wa dunia ni wewe, mwanzo na mwisho ni wewe Baba aaa oh Yesu Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Rafiki yangu, I love you,


I love you, I love you Baba yo Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Maneno yako yafungua watu, yafungua watu, yafungua watu


Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Sitasahau uliponitoa, Umenitoa mbali, umenitoa mbaali baba Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Oooh oooh, uhimidiwe yahweh Baba utukuzwe,


Baba uinuliwe Rafiki yangu nakupenda sana, nakupenda sana, nakupenda sana Baba eeh Baba utukuzwe,


Baba uinuliwe Rafiki yangu I love you, I love you, I love you, I love you Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Sitasahau ulikonitoa, Umenitoa mbali, umenitoa mbaali baba


Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Maneno yako Yana nguvu sana, Yana nguvu sana, Yana nguvu sana Baba Baba utukuzwe,


Baba uinuliwe Kwa neno lako Lazaro kafufuka, kafufuka, Kafufuka Yesu wangu Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Rafiki yangu nakupenda sana, nakupenda sana, nakupenda sana Baba Baba utukuzwe,


Baba uinuliwe Oooh oooh, Baba, ooooo, Baba, ooooo Baba, mmmmmm, noono, ooooo,, Baba yoyyo

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status