Niumbie Moyo Safi Na Roho Mtakatifu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Niumbie Moyo Safi Na Roho Mtakatifu - Pastor Anthony Musembi
...
Niumbie moyo safi,
Niumbie moyo mpya,
Moyo wa kunyenyekea,
Na kubondeka mbele zako
Nisikilize Yahweh
Daudi akasema:
Roho mtakatifu
(hakuna kama wewe)
Roho wake baba
(hakuna kama wewe)
Roho wa uweza
(ni nani kama wewe)
Roho wake Baba
hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe
hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe