Mataifa Yote Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Mataifa Yote - Pastor Anthony Musembi
...
Mataifa yote yatakusanyika
mbele zake Bwana mwokozi
waliookokoka watakusanyika
mbele zake Bwana mwokozi
chorus
wata mwabudu Bwana
haleluya Bwana x 2
watakatifu wote watakusanyika
mbele zake Bwana mwokozi
walio okoka watakusanyika
mbele zake Bwana mwokozi
chorus
watasujudu
Bwana haleluya Bwana x 2
watamwabudu
Bwana haleluya Bwana x 2
watafurahia Bwana
haleluya Bwana x2