Potential ft. Kushman & Jimito Baaba Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2022
Lyrics
Potential ft. Kushman & Jimito Baaba - Benzema
...
potential, potential, unatingiza na tension potential, potential lemme check ur credetions x2 manzi yangu ni msexy hapa compe ni kama ya Coca-Cola na Pepsi wanaume kwa dm wako wrestling hadi wamefanya ndoa yangu ikuwe messy mnataka sana manzi yangu mnakazana sana na ni mali yangu hawa watoto wa shule na wababa wamechosha manzi yangu na kuomba namba ju si hukula sembe na mboga kila mwezi tukisota tunakula mapenzi tukisota sana tunageuka wezi alishasema hiyo life ye hawezi ( benzema) hiyo ni haga ama ni blister alirombosa nkashikwa na mablister D d disaster nko ndani ya botelo pasa pasta potential wangu ni nurse ananiekea water drip iko na shash na mbona ukiona miti unablash after mechi tutacheza candy crush potential, potential, unatingiza na tension potential, potential lemme check ur credention Monday kutakuwa na malessons na mkuje na maleso excuse me atieno wewe tukutane kesho ofcos kutakuwa na kamnyweso ni lazima tufukuze hizo mapepo ndani ya dera hizo maneno eeh zitingike na upepo poten .....tiaaal x2