Must Be Nice ft. Charisma Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Must Be Nice ft. Charisma - Benzema
...
......
kaka braza
wacha nikuambie kitu
usiwai cheza na dem anapenda anasa
najiuliza
singefanya blunder
ungekua wangu ama una tembe za kuachama
na ukisota ujue hio ni karma
na ukirogwa nilienda kwa mganga
na ukikufa nitakuja hio matanga
nikutemee taxin ya jaba
nimecheki story zako it must be nice
ulikua na mashoga wako unajinice
nilikua ready kumake my sacrifice
lakini ushamove on baby it must be nice
oooh
it must be nice
ooh
it must be nice
nilikuwa ready kumake my sacrifice
lakini ushamove on baby it must be nice
si watu huachana kawaida ya mapenzi ya mavijana
kawaida ya mapenzi ya wasichana
kawaida ya ma ah ah ah ah ah
si watu huachana kawaida ya mapenzi ya mavijana
kawaida ya mapenzi ya wasichana
kawaida ya ma sssh
all in all hii love ilikua comical
hakuna theory kila time ni practical
nikajipata na facetime na pastor
ndani ya mazda na dem wa jana
come we stay
amber ray
divorce party yetu performance ni omah lay
must be nice kuloose virginity twice
must be nice body count haiko kwa dice
nimecheki story zako it must be nice
ulikua na mashoga wako unajinice
nilikua ready kumake my sacrifice
lakini ushamove on baby it must be nice
ooh
it must be nice
oooh
it must be nice
nilikua ready kumake my sacrifice
lakini ushamove on baby it must be nice
si watu huachana kawaida ya mapenzi ya mavijana
kawaida ya mapenzi ya wasichana
kawaida ya ma ah ah ah ah ah
si watu huachana kawaida ya mapenzi ya mavijana
kawaida ya mapenzi ya wasichana
kawaida ya ma sssh
......