Loading...

Download
  • Genre:Pop
  • Year of Release:2022

Lyrics

Masaa Zake ft. Kushman - Benzema

...

Yoh

Leo sherehe imetuleta Kisumu city

tumekaribishwa tuna feel fiti

hewa inanuka samaki imekarangwa

alafu pombe tunakunywa si za kuchangwa

hii sherehe ya Leo ni kubwa

madem wanalewa na ma panty remover

eeh

Kuna msupa asha nikujia na lugha

(Nitakupigia face na nitalipia Uber)

Kuna mwingine ameshinda kwa kiti

si tuna dance lakini ye hakatiki

(siwezi katika kama Niko sober hizi pombe za Kisumu ni kama soda)

watu wangu

(eeh)

tuko hii sherehe Hadi saa ngapi

(masaa zake)

walevi wenzangu

(eeh )

mzinga tunafunga saa ngapi

(masaa zake)

ah masaa zake.. masaa zakee

masaa zake ..

tuko hii sherehe Hadi masaa zake

asubuhi walalo Ako jaba

na mi nafikiria kukata waba(maji)

of course tuna connect haraka(mbio mbio)

mastory Hadi usiku saa Saba(usiku)

masaa zake ndo tunaenda kulala(kudoze)

ambia Njeri apike njugu supper

Niko na jaba ,mbogi na Wi-Fi

(ka ni password ni Alehandro can get it)

na beba tu Ile blanketi kubwa

ndani ya klabu najifunika na msupa

na sound ya klabu ni ya probox

na bado Nita omba dj ox

watu wangu

(eeh)

mko hii sherehe Hadi saa ngapi

(masaa zake)

walevi wenzangu

(eeh)

mzinga tunafungua saa ngapi

(masaa zake)

ah masaa zake..masaa zakee

masaa zake

tuko hii sherehe Hadi masaa zake

Nairobi tuna party na commandments

ukishindwa ku obey unachujwa

ukilewa mapema unafukuzwa

na kaa huna ganji we ndio was kutumwa

umejiletea disaster

tutazima mziki upige bar mzima duster

this is a no go zone for code blockers

wanaume watiaji na ma show stoppers

alafu weka manzi Yako fitty

weka Chali Yako fitty

ka huna wako unadance na ukuta

hatutaki mafisi hapa utakula chupa

watu wangu

(eeh)

tuko hii sherehe Hadi saa ngapi

(masaa zake)

walevi wenzangu

(eeh)

mzinga tunafungua Saa ngapi

(masaa zake)

a masaa zake..masaa zakee

masaa zake

tuko hii sherehe Hadi masaa zake

ks on the beat

More Lyrics from Benzema Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status