Kokoriko Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kokoriko - Masauti
...
nionyeshe miuno kata
leo upiga shere together mi nawee
Kama maji tuta kata tujivinjari Bebe
raha twajipa wenyewe
napenda unavyo pinda pinda pinda mugongo
unanimaliza sherii body ulivyo jaza jaza jaza mutoto
umashallah ma bby
nikisema go go go roogo goro babe
we nenda mpaka chini chini chini
nenda mpaka chini chini chini
Tena wakisha Moto Moto Moto Mototo beby
Basi badae ko tini tini tini
wenenda mpaka chini chini chini
Leo mpaka kokorii kokoriko kokorii kokoriko
Leo mpaka kokorii kokoriko kokorii kokoriko
Leo mpaka kokorii kokoriko kokorii kokoriko
Leo mpaka kokorii kokoriko kokorii kokoriko
girl wanna mek happy mek njoyy to sna bby
pole pole ukicheza nami unavyo tingika delil
les get hai tusijipimie situnywe tulewe
baby walah navyo kupenda mie
ukianguka nkubebe
nikisema go go go roogo goro babe
we nenda mpaka chini chini chini
nenda mpaka chini chini chini
Tena wakisha Moto Moto Moto Mototo beby
Basi badae ko tini tini tini
wenenda mpaka chini chini chini
Leo mpaka kokorii kokoriko kokorii kokoriko
Leo mpaka kokorii kokoriko kokorii kokoriko
Leo mpaka kokorii kokoriko kokorii kokoriko
Leo mpaka kokorii kokoriko kokorii