Deka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Deka - Masauti
...
Deka, Deka , Deka, Masauti
Anadeka , deka , Deka, Kenyan Boy
Anadeka, deka, deka , deka 001
Anadeka, deka, deka
ngozi yake ilivo laini
pozii lake nalo dhamini
Pua kajitoboa Kipini
Kwa sure huyu mtoto wa mjini
Nikazuri kasupa kindege,
Jicho lake lanipaga ndege
Alafu kana mizuka ya genge
natamani kanipe nimege
nakanavyo Dondoka ,
kamejaza baze twitter baze twitter
na kanashoboka nikikaona kakipita aki Sister
Akicheka na mwanya sijui ni kusudi anafanya
nyuma anavyo itawanya nikipiga miluzi anankanya
Ila anadeka, de Aah!!
Nikimuita anadeka, de Aah!!
akipita anadeka, de Aah!!
Eti anadeka, de Aah!! Aaah
Anapenda deka, deka, deka
anadeka deka , deka
Anapenda deka, deka, deka
anadeka deka , deka
Unaposugua , Unainua
Nyoka ya shaba ushaitibua
ebu sasambua mama pekechua
kama kuku manyoya nitakufichua
Usije ligetikali , mbwa kali
Kama noma iwe noma , noma
Jeusi Milani, Chokoleti
niko rada yake Noma , Noma, Noma
Nikazuri kasupa kindege,
Jicho lake lanipaga ndege
Alafu kana mizuka ya genge
natamani kanipe nimege
Akicheka na mwanya sijui ni kusudi anafanya
nyuma anavyo itawanya nikipiga miluzi anankanya
Akicheka na mwanya sijui ni kusudi anafanya
nyuma anavyo itawanya nikipiga miluzi anankanya
Ila anadeka, de Aah!!
Nikimuita anadeka, de Aah!!
akipita anadeka, de Aah!!
Eti anadeka, de Aah!! Aaah
Anapenda deka, deka, deka
anadeka deka , deka
Anapenda deka, deka, deka
anadeka deka , deka
Vimbai vimai Bae, aaah , Aaah
Unavyoshiki unanishikisha nare, nare
Vimbai vimai Bae, aaah , Aaah
Unavyoshiki unanishikisha nare, nare
•••√√√•••••••√√√√••••••••••