Kiu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Kiu - Rehema Simfukwe
...
ninakiu naaawe sina mwingine
sina mwingine
nina njaa nawe sina mwingine
sina mwingine
ninakiu naaawe sina mwingine
sina mwingine
ninanjaa nawe sina mwingine
sina mingine
tone la damu yako yesu ninaliitaji bwana
linisafishe
tone la damu yako yesu ninaliitaji
(liniinuee)×2
ninakiu nawe sina mwingine
sina mwingine
ninanjaa nawe sina mwingine
sina mwingine
baba nijaze (nijaze)
yesu nijaze (nijaze)×4
ninakiu nawe sina mwingine
sina mwingine
ninanjaa nawe sina mwingne
sina mwingine