Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2017

Lyrics

Watanionaje - Barnaba

...

Mpenzi wangu njoo hapa mi ni kueleze unajua nimetoka home kwa wazee

Nimewaambia wiki ijayo na kupeleka wewe mmmh

Ila ndio wanajua na ishi na we kwa hiyo ni lazima ni kakutambulishe

kwa hiyo ni kakutambulishe wewe

watanionaje ×4

Unaomba wakati ulishapanga na ni kasema na taka tambulishwa mbona una haraka haraka mwanamke wewe mmmh

haya umepanga unitambulishe mchumba, buzi au ni mumeo haya si mambo ya kukurupuka wewe

Unatakaje × 4

Kama mwanaume unatakuwa usimame ni thaminishe kama mwanamke unipendae mwenye kunijali na kuniheshimu wewe mmmh

Unataka ni simame mara ngapi wewe kwani chakula mezani hukuti wewe

lini umesikia ni na demu wa nje eeeeeh

Najua unanipenda na nimeishi nawe miaka mingi ila usikurupuke ukaenda kusema mpaka kwa dingii

Najua unaogopa hasa hasa yule wangu dingii na wala sijakurupuka hayo ni mambo ya msingi

Kama ni sipo kwenda una hisi nini kitatokea

Kama usipo kwenda hauja nipenda unanichezea

Unasemaje

usijali mama

Unasemaje

Tuliza pressure

Unasemaje

siku hazijafika

Unasemaje

usihofu tutakwenda

Unasemaje

Tuliza mukali

Unasemaje

usihofu tutakwenda

Unasemaje

usijali mama

Unasemaje

tuliza pressure

Ooooh

usihofu tutakwenda

mmmmh

Unasemaje

usijali mama

Unasemaje

Tuliza pressure

Unasemaje

siku hazijafika

Unasemaje

usihofu tutakwenda

Unasemaje

tuliza mukali mama

Unasemaje

usihofu tutakwenda

Unasemaje

usijali mama

Unasemaje

Tuliza pressure

ooooh

usihofu tutakwenda




END

More Lyrics from Barnaba Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status