Never Ever Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Never Ever - Maua Sama
...
You are the one I love tell I say,
yeah!..
where you gonna wanna baby,
Baby all I want is for you to be here
is some good stories you now must you be here?
penzi la ujazo lijae mpaka pomonii, yeah !!
I will come match you
only me and you
yeah!
nishajitoa mie sadaka,
ntakufata kila kona
kama gari ndo lishawaka,
sijali hata wakinong'ona
future yetu ndo ishajengeka,
kwa mbali kama naiona
you are my only known true love, nisha verifying we ni nomaa
yeah!
(never ever never ever never ever vever, leave you )
ntakung'ang'ania mpaka mwisho wewe na me niwe na wewe,
mpaka kifo ohh!
Baybe mpaka mwisho
ooough yeah yeah!!!
umeniganda nda! nda!,
kuku usiniache kifaranga
umeniwa wa washa
kama ni nazi ishakoleaga
kamoyo kangu umeshakateka, usijeniacha mi pekeyangu nitateseka ukiwa mbali natetereka,
ubaridi unavyoniganda natetemeka..
nishajitoa mie sadaka,
ntakufata kila kona.
kama gari ndo lishawaka ,
sijali hata wakinong'ona.
future yetu ndo ishajengeka,
kwa mbali kama naiona..
you are my one knownly true love nisha verifying we ni nomaa..
yeah!!
(never ever never ever
never ever never, leave you)
ntakung'ang'ania mpaka mwisho wewe na me, niwe na wewe
mpaka kifoo ohh!
Baybe mpaka mwisho
ooouh!
yeah!
yeah!
(The mixing Killer.)