Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

This song is not currently available in your region.

Lyrics

Vitu Vingi - Young Lunya

...

kichwa kina vitu vingi ,ila haimaanishi skupendi..

.........

Ni vitu vingi tu ,ila haimaanishi skupendi

..........


Kichwa kinavitu vingi , ila haimaanishi sikupendi

sitabiliki, siambiliki, ila haimaanishi skupendi eeyy. Shoga zako wanatabia za kishenzi, wananipakazia maushenzi , ila haimaanishi skupendi (uuuh!!)


kichwa kinavitu vingi (eyy!!), ila haimaanishi skupendi (baaoo!), sitabiliki , siambiliki ila haimaanish skupendi (uuu..!),shoga zako wanatabia zakishenzi (yeeeeh)wananipakazia maushenzi(baaoo!),ila hamaanishi skupendi (skrrrr)


Natoka nyumbani kwenda kutafuta, ili nyumban tusile hata daga, muda ni mchache mambo ni mengi, sitaki mtoto ulale na njaa, Pirka Pirka tunapikika na sio kitoto balabalaa, Naskia wengine sio wakishua vyema kupigana na mtaa. So, penyapenya kama pikipiki leta bager navi chipsichpsi na kuku kuku,Pipi pipi na matundatunda ndizi, matikiti , Na vijiti vipi ,Kila nachokifanya unakijua ntakuchiti Vipi


Shoga zako wanajifanya hawapendi Hao ndo ambao wanazimia mziki, nasiwapi nafasi na walia bati madem wengine wanini kujifanya mswati ndo maana saa nyengine natoka nyumbani bila ya kupiga mswaki na muda mwengne sitoi hata Kodi ya meza na toka kibati hapa watashindia maandazi ila nikirudi ni party


wengine wanasema wantaka, ila wao ndo wameja kwenye DM

Nawala hawachezi block, ila najifanya wao same

wajuze ya kwamba siwezi kujigawa moyo wangu

Kukaa kwao waambie , Mimi na wakwao waambie

Wewe ni wakwangu na kiboko ya mie ...

((( Kichwa kinavitu vingi, ila haimaanishi skupendi

Sitabiliki , Siambiliki , ila haimaanishi skupendi (eeyyy)

Shoga zako wanatabia za kishenzi , wananipakazia maushenzi,ila haimaanishi skupendi (uuu..!)》×2 )))


Kuku pakaza wewe,siwezi kubali , Kitu kingine nacho kipenda unanikubali alafu mwenyewe unajikubali Siatunakitu tutafika mbali , Ntakupeleka kwa mama akuone nimepeta mwali sasa muda mwengine kichwa kinapata moto maana hata ukitazama simu haziiti So inabidi nipunguze Chanda pesa kwenda Kuzitafuta kibishi ntajua mbivu ntajua mbichi

Nawe navokujua unapenda maupishi, Nywele, Pochi, Out kila wiki, Sasa tukipata deni la mziki,

Maneno ya kose ya puuze mpaka wakuone unanyodo


Nami sikuachi chini ya mpera nimeokota dodo

Action nyingi maneno kidogo naskia itakitena zogo bize kama tunakata gogo ndoto haziwezi kutimia kama muda ni mdogo walikuja wenye magari na nyumba na hawakukupata.Sasa inabidi nipambane kukupa chochote unachokitaka .

IPHONE sijui nini vitakataka, Nilete chochote utakacho kitaka ndo maana nakwenda mchaka ili babe akitaka baba anaipata


Wengine wanasema wananta, ila wao ndo wamejaa kwenye DM

Nawala hawachezi block, Ila najifanya wao same

Wajuze ya kwamba siwezi kujigawa moyo wangu kukaa kwao waambie ,Mimi na wakwao waambie

Wewe niwakwangu na kiboko ya mie.....

((( Kichwa kinavituvingi ,ila haimaanishi skupendi

sitabiliki siambiliki, ila haimaanishi skupendi (eeeyy.!)

Shoga zako wanatabia za kishenzi, wananipakazia maushenz ila haimaanishi skupendi (uuuww..)x2 )))



; END ;


lyric wrote By: Popmeazy

instagram :@Popmeazy


Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status