Tell Me Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro...
uo wowo woo iiih ouwooo eeh mmh
Verse 1
Why umeshika shavu au kuna kitu mbaya my love mmh,
Wapi nimekosea nieleze kushoto wangu ubavu mmh,
Mapenzi ni mchezo wa kubembelezana,
kama nimekosea niambie nikuombe msahama,
Mbona sioni cheko kama juzi na jana,
Labda ungenigusia nielewe kipi cha kufanya mmh,
Ni malaika labda anaejua nilipokosea mada,
Najua moyo wako wakaba ila mumeo pembeni sina kimada eeh,
Ni malaika labda anaejua nilipokosea mada,
Najua moyo wako wakaba ila mumeo pembeni sina kimada heiii.
Chorus
Basi baby mama,tell me tell me tell me,
Kama nimekukosea sana,tell me tell me tell me.*2
Verse 2
Intro... mmh eiyee eiyee eeh.
Kama ndoa tutafunga nilishasema vumilia baby bado mapema,
Mambo mengine mpangaji maulana, hei sasa nimeelewa vema ,
Uliona maseji kwenye simu yangu hilo najua ndo lilikuchengua,
Ule muamala nilituma kwa mama ila namba yake sikutumia,
Subiri subiri my der tamanio lako me nalijua,
Amini amini siunajua huu mtima wangu nimekupea,
Ni malaika labda anaejua nilipokosea mada,
Najua moyo wako wakaba ila mumeo pemben sina kimada,
Ni malaika labda anaejua nilipokosea mada najua moyo wako wakaba ila mumeo pembeni sina kimada,
Chorus
Basi baby mama, tell me tell me tell me,
Kama nimekokosea sana, tell me tell me tell me.
Autro..
me and you si ulisema tutakufa wote baby,
Me and you si ulisema tutaishi wote baby, *2