Nakuona Wewe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro...
sinyora sinyoraaaa yeeh, sinyora sinyoraaaaa aaah,
Wuwuuuu wuwuuu
Sinyora sinyoraaaa
Verse 1
Kama ni tuzo we ni bilbord,
umeteka moyo limesheki bord,
Uzuri wako madini gold,
kakupendelea kukuumba god,
Kama ni kuni moto chochea sana,
Penzi liwake lizidi kuchanganya,
Viroho kwatu kwatu waone noma,
Kila kukicha tuzidi kupendana yeeah,
Cha nini kibatali rangi yako ndani inatoa mwanga,
Sina shaka kwa kweli kwa penzi letu hajausika mganga,
Na hatuwezi kufel kwa binadamu labda mola akipanga,
Tumelidhiana kwakweli kulala chini ata bila ya kitanda,
Tabia yako na sura umeniteka mazima,
Hujawahi kunja sura ata ukiwa umenuna,
Penzi lako maridadi nataka kulipia bima yeeeh nataka kulipia bima aah yeeh.
Chorus
Umeniganda mwilini japo fukala,
Penzi lako la kweli hubabaishwi na hela,
Nachokupenda kwanza haunaga papala aah eeh papala papala mmh papalaa,
Hiii hiii huu huu
Nakuona wewe tu kuna ulazima,
Hii hii huu huuu
Nikuoe uwe baba niwe mama.
Verse 2
Sema bwebwe niziongoze,
linawili penzi letu lipendeze,
Nipige zeze nawe ucheze,
Kitandani kwachu kwachu nisebenze dia,
Sijawaigi kukuchoka toka nimekua na wewe,
Kila siku unanikosha nazidi kupagawa na wewe,
Mtoto kipotabo mwili wako henga,
Nguo ukivaa unapendeza,
Kwako sina jambo umeniweza,
Kudanga danga kutanipoteza,
Tabia yako na sura umeniteka mazima,
Hujawahi kunja sura ata ukiwa umenuna,
Penzi lako maridadi nataka kulipia bima eeyeeh,
Nataka kulipia bima aaah eeeyeeehh.
Chorus
Umeniganda mwilini japo fukara, penzi lako la kweli hubabaishwi na hela,
Nachokupenda kwanza haunaga papalaa aah eeh papalaa papalaa mmh papalaa,
Hihiii huhuuu
Nakuona wewe tu kuna ulazima,
Hii huuu
Nikuoe niwe baba uwe mama,
Outro......
Stil together stil nitaishi na wewe,
together worever,
Stil nitaish na wewe stil together,
Stil together stil stil eeh stil,
Stil nitaishi me na wewe together worever, aah
Nakuona wewe tu kuna ulazima,
Nikuoe niwe baba uwe mama.