Mtima Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro.... Naa naaa nanana naaaa, na naa nanaa naaa.
Verse1
Me kukupata kama vile nimeshinda bingo,
Mzuri baby ndani na nje,
Ukitembea mabishoo wanavunja shingo,
Na mwendo wako wa madoido,
Umeni kil me mwenzako sijiwezi,
Baby na penzi tamu tamu raha kamili naenjoy uber full dozi,
Ma baby full mashamsham,
Wale wa enzi zile nilipoteza mida foleni kupangana kama cheti cha nida,
Full masinema makida makida,
Nilitenga jungu wakatoa mafiga,
Enzi zile nilipoteza mida foleni kupangana kama cheti cha nida,
Full masinema makida makida
Nilitenga jungu wakatoa mafiga,
Unaupiga mwingi kama maladona ukinikis mwenzio napona kama chakula basi ugali wa dona unanipa nguvu afya inanona,
Unaupiga mwingi kama maladona,
Ukinikis mwenzio napona kama chakula basi ugali wa dona napata nguvu afya inanona.
Chorus
Mamy eeh,
umeteka mtima yangu roho,
Umeteka mtima,
mwenzako sijiwezi, ukipenda nipelekea kama ndezi,
Umeteka mtima,
mmh mazima mazima,
Umeteka mtima,
Eeeh me kwako nimezama,
Umeteka mtima
Usije ukanibania aaah mapigo yatagoma
Umeteka mtima.
Verse 2
Lako penzi tamu tamu unalonipa nafurahi ata sizani kama siku ntakinai,
Baby come come nikupeleke dubai tukale mbuni bata sasa hazitufai,
Mazima mazima mimi kwako ndo nishazama ile deep deep kwa wako mtima,
Nikupigie gita uenjoy me ndo santana ukichoka tips twende juliana, mmh
Unaupiga mwingi kama maladona,
Ukinikis mwenzio napona,
Kama chakula basi ugali wa dona unanipa nguvu afya inanona,
Unaupiga mwingi kama maladona
Ukinikis mwenzio napona kama chakula basi ugali wa dona napata nguvu afya inanona.
Chorus
Mamy eeeh,
Umeteka mtima
yangu rooho,
Umeteka mtima
Mwenzako sijiwezi, ukipenda nipeleke kama ndezi
Umeteka mtima, mmh
Mazima mazima,
Umeteka mtima
Me kwako nimezama,
Usije ukanibania aaah mapigo yatagoma, umeteka mtima.
Outro...
aaahh nilipoteza mida folen kupangana kama cheti cha nida,
Mmmh eeh mida foleni kupangana kama chet cha nida,
Mmh aah nilipoteza mida folen kupangana kama cheti cha nida,
Mmh eeh mida folen kupangana kama chet cha nida.
Mmmh naaaaa nana naa naaa
Mmh naaa nana naa nanaaa.