Kaa Umo ft. Linah Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro...
mmh kwa mtima kwa mtima kwa mtima me na wasi wasi mmh eeeh.
Ukweli umenibebesha mzigo wa penzi lako linatani nyingi,
Uzuri wako nahisi mapigo yanadunda dunda tena mara nyingi,
Nakupa moyo wangu kaa nao kaa nao kaa nao,
Usicheze hisia zangu mwenzio my looo oh my love,
Upo kama mdoli doli no uzuri wa dukani kani sijuhi nikupe nini baby usiachane na mie,
Najua wapo madoni doni kwa uvumba na ubani bani wanakuwinda chini chini baby usiachane na mie,
Am happy for you nakupenda vile hauna makuu unajua nikipata nikikosa my buu unavumilia njaa tunalala tu,
Am happy for you nakupenda vile hauna makuu unajua nikipata nikikosa my buu unavumilia njaa tunalala tu.
Chorus
Kaa umo umo, tusiachane solemba one day kaa umo umo mmh,
Usije badilika baadae kaa umo umo.
Verse 2
Kwako nimetulia na siwezi kujaribu kwenda mbalii,
Navyokuzimia tamba vimba baby wangu usijali,
Wako malikia kwa lolote kwako me niko tayari,
Nimewazimia data wanaoniwinda wote chalii,
Me sina mawenge wananitishia vidola dola vyao,
Kwako nimependa jembe unavyonilima ata sina hamu nao,
Fanya kwa kunikomoa nipe mapacha nikulelee baby,
Jiki dawa ya madoa nikichafukwa unishafishe baby,
Am happy for you nakupenda vile hauna makuu,
Najua ukipata ukikosa ma buu navumilia njaa tunalala tu,
Am happy for you nakupenda vile hauna makuu najua ukipata ukikosa ma buu navumilia njaa tunalala tu.
Chorus
Kaa umo umo tusiachane solemba one day kaa umo umo,
Usije badirika baadae kaa umo umo.