Siwezi Kunenepa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro...
wowo waoo yeye yeyeeeh wowo wowo yeye yeye yeeeh.
Tulilandana nyanya na kitungu me na yee,
Tukuapendana mchwa na kichuguu mimi na yeye,
Mnanikumbusha mbali sana eeh ooh, mbali sana
Mnanikumbusha kipindi cha mapenzi yangu mimi na yeye,
Mnanikumbusha mbali jamani nyie,
Nimebaki na picha naangalia hivi upendo kauondosha nan,
Ata nikigalagala barabarani ntabaki moyo unauma aaahh mmmh.
Chorus
Siwezi kunenepa,
Mimi nilimpenda yeye alinidanganya,
Siwezi kunenepa
Akanizidisha kisha akanigawanya,
Siwezi kunenepa,
Yee nilimpenda alinidanganya,
Akanizidisha kisha akanigawanya.
Verse 2
Nilikongoroka mifupa mitupu,
Nilinyorodoka nikabaki mtupu,
Nilichanganyikiwa nilimzoea,
Nilichanganyikiwa nilimzoea,
Nikabaki nalia mwishoe nikazoea,
Mapenzi yanauma usiombe yakakutokea,
Presha jujuu nusura ningepotea,
Mnanikumbusha mbali sana yeeh,
Mnanikumbusha kipindi cha mapenzi yangu me na yeye,
Mnanikumbusha mbalii jamani nyie,
Nimebaki na picha naangalia hivi upendo kauondoaha Nani,
Ata nikigalala barabarani ntabaki moyo unauma,
Chorus
Siwezi kunenepa, yalivyonifanya siyatamani tena, mapenzi nayaogopa kama ukoma, yeeeh nilimpenda alinidanganya, akanizidisha kisha akanigawanya,
Siwezi kunenepa,
No no no no