Nakuja ft. Hamadai Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nakuja ft. Hamadai - Zee Cuty
...
nikikona moyo wangu bojo bojo
nahisi kupona ooooh nachojoa chojo
ctk konakona nakusubiri JoJo
ooh bebi Shona Shona shindiliaa mdogmdogo
nHisiii naibiwaaaaaaaaaa
him:ooh ononononono hawana ujanja
her:nachanganyikiwaaaaaaa
him:bebi slowslow safisha uwanja
her:nikumbate nipate joto joto
mwaga mbolea tupate katoto
gusa baba ya Moto aaaaah kimoko
him: nimekusikiaaaa ooh mama watoto
nakanyagia mixer prokoto
nyonga mamA yamotooo aaaah kimoko
her:wat a time now
him:nakujaaaa
her: mbona utokeiiii
him: nakujaaaa
her :nimevhoka kusubiriii
him:nakujax2