Raha ft. Mr Blue Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Raha ft. Mr Blue - Zee Cuty
...
ooooh baby eeh
vile unanifanyia Mandingo
ndo nijisikie
unaniko ko kosha baba
ooh baby eeh
hizi nyota tusafirie
unanikosha unikosha kosha
kila chumba Chang kwenye moyo
ushapanga wee
kama nikosa nikosa usamehe
Ata nuru yang na nyota yng
saree na wee wewe
usije ukanitosa ukanitosa nife
aaah)umeniponya maumivu
nilitokanayo nyuma
(asante mama)usije ukaruka ukasepa nayo manaa umeniponya maumiv u nilitoka NAyo nyuma (asante mama) usije ukaruka ukasepa Nayo manaa
unanipa raha unanipa raha unanipa raha aah unanipa rahaa
umenipa dawa ya sumu ya mapenz
nimepanga na timu yako nipejezi
nilinde nyumba yako wasifike wezi
tule baraka ya wazaz wako na mwenyez
mwili wote Mali yako chezea
ning'ing'inia kwenye bomba lako bembea
napenda kuona miguu yako vile ukitembea
napenda ukiongea macho yamelegea
lazima nitasogea unajua nimekolea
unanichanga na michezo ya kitanga
nyuma ulivyo jaza
ndani moja kanga
nakutaza mama usiende kwa waganga
penzi lina chalaza
na haujashika panga
umekalisha wanga
haujui kudanga
umenipiga lock
nikitoka nimungu mungu
raha unazo nipa mpk
nahisi kizunguzungu(wiziii)
((wee mama?))umeniponya nilitoka nayo nyuma (asante mama)usije ukaruka ukasepa naloo manaa(mama )
umeniponya maumivu nili toka Nayo nyuma(asante mama) usije ukaruka ukasepa naloo manaaa aaah unanipa raha unanipa raha unanipa raha unanipa raha unaniparaha aah unanipa raha unanipa raha unanipa rahaa